Hatimaye Mahakama Kuu ya Tanzania leo hii tarehe 13-11-2017, imemaliza kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabili muigizaji wa filamu hapa nchin...
SINGIDA UNITED KURUDI NYUMBANI RASMI.
UWANJA WA NAMFUA SINGIDA SINGIDA: Timu ya Soka ya Singida United inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kupanda da...
RAIS WA NIGERIA APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA RUSHWA.
GOODLUCK JONATHAN RAIS MSTAAFU WA NIGERIA ABUJA-NIGERIA Rais mstaafu wa Nigera Bw. Goodluck Jonathan, amepewa hati ya kuitwa Mah...
TAIFA STARS ITAKAYOIVAA BENIN, SIMBA 4 YANGA 5.
TIMU YA TAIFA STARS ILIYOTANGAZWA LEO NA KOCHA SALUM MAYANGA. Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki na Beni...
HUYU NDIYE GAVANA MPYA WA BOT
Prof. Florens D.A.M Luoga-Gavana mteule wa BOT Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amem...
BARRICK GOLD CORPORATION WANYOOSHA MIKONO KWA JPM.
DAR ES SALAAM: Hatimaye Kampuni ya Barrick Gold imekubali kuilipa Tanzania dola za Kimarekani Milioni 300 sawa na takribani Shilingi B...
MWENYEKITI WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION ATUA NCHINI KUHITIMISHA MAZUNGUMZO YA MAKINIKIA
Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mining Limited Prof. John L. Thornton ame...
KOCHA WA LEICESTER CITY AFUKUZWA KAZI.
CRAIG SHAKESPEARE-KOCHA WA LEICECTER CITY ALIYEFUTWA KAZI. LONDON: Klabu ya soka ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya England...
PIGO KUBWA NCHINI KENYA,KAMISHNA TUME YA UCHAGUZI AJIUZULU AKIWA MAREKANI.
DKT ROSELYN AKOMBE-KAMISHNA WA TUME HURU YA UCHAGUZI KENYA (IEBC) NAIROBI-KENYA Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Tume ya Uchaguzi nchini Keny...
RAIS MUSEVENI WA UGANDA AMTEUA MTOTO WA MIAKA 11 KUWA MKUU WA JESHI LA POLISI (IGP)
IGP ELIZABETH ATUKUNDA AKIZUNGUMZA NA IGP KALE KAYIHURA. KAMPALA-UGANDA Katika kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani Rais Yoweri K...
MLIMA KILIMANJARO WATWAA TUZO YA TATU MFULULIZO.
TUZO YA WORLD TRAVEL AWARDS 2017 KWA MLIMA KILIMANJARO. Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Afrika mwaka 2017. ...
BREAKING NEWS: WATU 15 WAFARIKI DUNIA BAADA YA GARI LAO KUDUMBUKIA ZIWA VICTORIA
Zaidi ya watu 15 wamefariki dunia huku wengine wakijeruhiwa huko Mkoani Mwanza baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Hiace kutumbu...
RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI OCTOBER 09, 2017.
Waziri wa Wizara mpya ya Madini Mhe. Angela Kairuki akila kiapo cha utii mbele ya Rais Magufuli mapema leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. ...
MALAWI KUKIONA CHA MOTO JUMAMOSI.
TIMU YA TAIFA (TAIFA STARS) IKIFANYA MAZOEZI LEO. DAR ES SALAAM: Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania,(Taifa Stars) kimeanza ...
UNAJUA KOREA KASKAZINI HAKUNA SIMU ZA MKONONI, TV, NA WATU WANAKULA NYASI KAMA CHAKULA?
RAIA WA KOREA KASKAZINI WAKIWA KWENYE FOLENI YA KUINGIA KWENYE DALADALA. Wakati Taifa la Korea ya Kaskazini linaloongozwa na rais kij...
BOT WAZINDUA UTAFITI WA HUDUMA ZA KIFEDHA NCHINI.
RPOFESA BENO NDULU. GAVANA BENKI KUU TANZANIA (BOT) Benki Kuu ya Tanzania leo imezindua matokeo ya utafiti wa kitaifa kuhusu hali y...