Searching...
Jumatano, 18 Desemba 2013

ANGALIA PICHA 12 ZA NDEGE YA ETHIOPIA AIRLINE BOING 767 ILIYOINGIA PORINI ARUSHA IKIWA NA ABIRIA ZAIDI YA 200





zaidi ya abiria 200 waliokua wakisafiri na ndege ya shirika la ndege la Ethiopia Ethiopian Airline wamenusurika katika ajali baada ya ndege hiyo kubwa Boing 767 iliyokua itue uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA kushindwa kutua hapo kwasababu ambazo bado hazijajulikana na kupelekea rubani huyo kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Arusha lakini kutokana na ukubwa wa ndege hiyo ilipitiliza hadi porini kama picha hapo juu zinavyoonyesha.


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!