Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Simu za
mkononi Zantel, Pratap Ghose, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, akiwa na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya
Zante, waliofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili
ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu
za mkononi ya Zantel, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
0 comments:
Chapisha Maoni