MTOTO WA MIAKA 4 DEVOTHA GERLAD ALIYEKATWA MAPANGA NA BABA YAKE HUKO KAHAMA MKOANI SHINYANGA,HAPA AKIWA HOSPITALI KWA HUDUMA AYA KWANZA.
MAELEZO KAMILI,KISA NA SABABU ZA UNYAMA HUU ZIPO CHINI MWISHO WA PICHA HIZI.

KINA MAMA WALIOGUSWA NA TUKIO WAKIWA NJE YA HOSPITALI KUMUONA MTOTO HUYO.
AFANDE BWIRE AKIWA HOI WODINI
HAPA AFANDE AKIWA HOI BAADA YA KUFIKISHWA HOSPITALINI..
MADAKTARI WAKIJITAHIDI KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYO.
MADAKTARI WAKIWA KAZINI KUHAKIKISHA WANAOKOA MAISHA YA MTOTO HUYO.
AFANDE BWIRE AKIWA HOI WODINI HUKU AKIWA AMEFUNGWA PINGU.
JITIHADA ZA KUOKOA MAISHA YA MTOTO ZIKIENDELEA
INASIKITISHA SANA JAMANI
MAJUKUMU YA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYO YAKISONGA KWA KASI.
AFANDE BWIRE AKIWA NA PINGU ZAKE WODINI
MUNGU AMPE AHUENI MTOTO HUYU.
IMEELEZWA KWAMBA TUKIO HILI LIMETOKEA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA ALHAMISI MAY 16 AMBAPO SABABU YA KUMCHARANGA MAPANGA MTOTO HUYU IMEFAHAMIKA KWAMBA KAMANDA MSTAAFU (MTUHUMIWA) BWIRE ALIKUA ANAGOMBANA NA MKE WAKE KISHA AKAANZA KUMPIGA MKE WAKE NA BAADA YA MKE WAKE KUZIDIWA NA MAKONDE AKAAMUA KUKIMBIA NJE NDIPOHUYU MUUAJI AKABAKI NA MTOTO WAKE NDANI NDIPO ALIPOAMUA KUMALIZIA HASIRA ZAKE KWA KUMFYEKA MAPANGA MTOTO WAKE MITHILI YA MCHARANGA NYAMA BUCHANI.
MUNGU AMPE AHUENI NA APONE MTOTO HUYU NA TULAANI VITENDO VYA KINYAMA KAMA HIVI KWENYE JAMII YETU.

dah nyakati za mwisho hz........
JibuFuta