Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mining Limited Prof. John L. Thornton ametua nchini kwa ndege yake binafsi tayari kwa kikao cha mwisho cha kuhitimisha mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea kati yao na serikali ya Tanzania kuhusu Makinikia.
Alhamisi, 19 Oktoba 2017
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni