Waziri wa Wizara mpya ya Madini Mhe. Angela Kairuki akila kiapo cha utii mbele ya Rais Magufuli mapema leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye akila kiapo cha utii mbele ya Rais Magufuli mapema leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Daniel Shonza akila kiapo cha utii mbele ya Rais Magufuli mapema hii leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Kangi Lugola akipokea hati ya kiapo cha utii kwa Rais Magufuli mapema leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo ameliapisha baraza lake jipya la Mawaziri katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam ambapo Mawaziri wote wameapa kiapo cha uaminifu pamoja na kiapo cha maadili ya utumishi wa umma.
Hii ni orodha ya Mawaziri hao walioapishwa hii leo.
1.Wizara ya Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora.
Waziri – George Huruma Mkuchik
2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri – January Makamba
Naibu Waziri – Kangi Lugola
3.Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri – Jenista Mhagama
Naibu Waziri – Anthony Peter Mavunde
Naibu Waziri Walemavu – Stela Alex Likupa
4.Wizara ya Kilimo
Waziri – Charles John Tizeba
Naibu Waziri – Mary Mwanjelwa
5.Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri – Makame Mbarawa
Naibu Waziri – Atashasta Nditiye
Naibu Wziri – Elias John Kwandikwa
6.Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri – Dr Philip Mpango
Naibu Waziri – Dr Ashatu Kijaji
7.Wizara ya Nishati
Waziri – Medrad Matogoro Kalemani
Naibu Waziri – Subira Hamisi Mgalu
8. Wizara ya Madini
Wairi – Angela Kairuki
Naibu Waziri – Haroon Nyongo
9. Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri – Palamagamba Kabudi
10. Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Agustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt Susan Kolimba
11 .Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Dr Hussein Mwinyi
12. Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri – Hamad Masauni
13. Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Waziri – William Lukuvi
Naibu Waziri – Angelina Mabula
14. Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri – Hamisi Kigwangala
Naibu Waziri – Ngailonga Josephat
15. Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Waziri – Charles Mwijage
Naibu Waziri – Stella Manyanya
16. Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi
Waziri – Joyce Ndalichako
Naibu Waziri – William Ole Nasha
17 .Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri – Ummy Mwalimu
Naibu Waziri – Faustine Ndugulile
18. Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri – Dr . Harrison Mwakyembe
Naibu Waziri – Juliana Shonza
19. Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Isack Kamwelwe
Naibu Waziri – .Juma Hamidu Aweso
20. Mifugo na Uvuvi
Waziri – Luhaga Mpina
Naibu Waziri – Abdallah Ulega
21. Wizara ya TAMISEMI
Waziri – Suleiman Jafo
0 comments:
Chapisha Maoni