Jamal Sambeke mtoto wa marehemu
akifunga jeneza la baba yake mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima
zao za mwisho nyumbani kwake njiro Themi Mkoani Arusha
Waombolezaji wakibeba jeneza la Bilionea Babu na kuweka kwenye gari maalumu tayari kwa safari kuelekea Moshi kwa mazishi
Watu wakitoa heshima za mwisho
Watoto wa marehemu Sia na Getrude waliovalia nguo nyeupe
Mtoto wa marehemu Jamal Sambeke akifunga jeneza la marehemu baba yake Babu Sambeke
Jaji Aisha nyerere msibani pamoja na mkurugenzi wa kibo palace Vicent Laswai
Baadhi ya magari ya kifahari yaliyofika katika msiba huo
Mkurugenzi wa hoteli ya Kibo Palace Vicent Laswai akizungumza msibani mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho
Waombolezaji
PICHA NA PAMELA MOLLEL.
PICHA NA PAMELA MOLLEL.
0 comments:
Chapisha Maoni