Zaidi ya watu 15 wamefariki dunia huku wengine wakijeruhiwa huko Mkoani Mwanza baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Hiace kutumbukia ndani ya Ziwa Victoria eneo la Kigongo Feri Wilayani Misungwi Mkoani humo.
Jumatatu, 9 Oktoba 2017
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni