RPOFESA BENO NDULU.
GAVANA BENKI KUU TANZANIA (BOT)
Benki Kuu ya Tanzania leo imezindua matokeo ya utafiti wa kitaifa kuhusu hali ya huduma za kifedha nchini Tanzania na kubainisha mahitaji na tabia za watumiaji wa huduma hizo mijini na vijijini.
Akizungumza katika uzinduzi
huo, Gavana wa Bank Kuu Profesa Beno Ndulu amesema Tanzania imepiga hatua kubwa
katika kuhakikisha watanzania wote wanapata huduma za kifedha kote mijini na
vijijini ambapo asilimia 86 ya watanzania wote wapo karibu na huduma za
kifedha.
0 comments:
Chapisha Maoni