Searching...
Jumatano, 11 Septemba 2013

POOL SAFARI TAIFA MKOA WA IRINGA BINGWA APATIKANA

Afisa ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve wa (wa pili kulia) akimkabidhi kikombe nahodha wa klabu ya Garden, Said amaohamed, mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Kulia ni Meneja mauzo wa Mkoa wa Iringa, Philipo Kabecha na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Afisa ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve(kulia) akimkabidhi kitita cha fedha taslimu shilingi 700,000/= nahodha wa klabu ya Garden , Said Mohamed mara   baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Diwani Athumani(wa pili kushoto) akimkabidhi nahodha wa timu ya Royal Zambezi, Emmanuel Joram, kitita cha fedha taslimu shilingi 700,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!