Sep 11, 2013 02:54 PM.
hajafa wala hajafariki dunia na hiyo hapo juu ni post yake aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Facebook jana muda mfupi tu baada ya watu kueneza taarifa za uongo kwamba amefariki dunia.
"...Watu wengi wamenipigia simu kutaka kuhakikisha kama nimefariki dunia au la."
"Kama ningekua nimekufa,nisingeweza kuiambia dunia kama sijafa,na hii ndio maana nimechukua gazeti lenye tarehe ya leo(PICHA HAPO JUU) ili kuiaminisha dunia kama sijafa na nipo hai,hata hivyo nawashukuru wote kwa kuonyesha kunijali."Alimalizia Jack Chain katika ujumbe wake alioutuma kwenye ukurasa wake wa facebook.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.