Home
»
Unlabelled
» NEYMAR AHAMISHWA HOSPTALI KWA HELCOPTA YA JESHI
Mchezaji wa timu ya taifa ya Brazili na klabu ya Barcelona leo hii amehamishwa hosiptali ya Sao Carlos kwenda Sao Paulo kwaajili ya matibabu zaidi baada ya kuvunjika sehemu ya mfupa wake wa uti wa mgongo katika mechi baina ya Brazili na Columbia ambapo Brazil walishinda 2-1.
Neymar akiingizwa kwenye gari la wagonjwa tayari kupelekwa kwenye Helkopta ya jeshi kwenda hosiptalini Sao Paulo kwa matibabu zaidi.
Neymar akiwapungia mashabiki wake waliojitokeza kumsindikiza na kumjulia hali.
Neymar akiwa kwenye kiti maalumu cha wagonjwa baada ya kutua hosiptalini Sao Paulo kwa Helkopta ya Jeshi.
Beki wa Brazili David Luiz akimpa pole Neymar muda mfupi kabla ya kuingizwa kwenye Helcopta.
0 comments:
Chapisha Maoni