Searching...
Alhamisi, 25 Julai 2013

HIVI NDIVYO TAIFA STARS WALIVYOTUA UGANDA.

Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars na benchi la ufundi wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe nchini Uganda jana tayari kwa mchezo wa marudiano na timu ya Taifa ya Uganda Jumamosi hii. 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!