Home
»
Unlabelled
» KAMA HAUMJUI HUYU NDIYE MCHUMBA WA NEYMAR
Kama haumjui basi kupitia Mchome Blog namleta kwako mchumba wa msukuma ndinga na kipenzi cha Wabrazili Neymar mrembo Bruna Marquezine hapa akiwa uwanjani kumpa sapoti mzee katika mechi kati ya Chile na Brazili.
Bibie kipenda roho cha Neymar Marquezine sakiwa na tabasamu ndani ya uwanja wa Estadio Mineirao Stadium kushuhudia mechi ya Brazili Vs Chile ambapo Brazili wameshinda kwa penalti 3-2 na kutinga hatua ya robo fainali.
wera weraaaaaaa Neymarrrrrr
JibuFuta