HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MVUTO KWENYE TV DUNIANI
Home
»
Unlabelled
» HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MVUTO KWENYE TV DUNIANI
Mwanadada mrembo Michelle Keegan amefanikiwa kuibuka kidedea kwa kuwa mwanamke mwenye mvuto kwenye luninga kuliko mwanamke mwingine yeyote duniani baada ya kupata kura nyingi zaidi.
Katika
hali ya kusherehekea kuipata nafasi hiyo bibie Michelle Keegan
amejitokeza hadharani kwa kupiga picha na nguo zake ndogo na gazeti la
FHM ambalo ndilo lililoandaa mashindano hayo.
0 comments:
Chapisha Maoni