Mji wa Iringa waendelea kukua kwa
kasi kubwa na kwa sasa foleni ya magari kubwa kama ilivyo jijini Dar
,Arusha ,Mwanza na Mbeya ongezeko hili la magari ni tosha mji wa
Iringa unapaswa kutangazwa kuwa jijini ama miundo mbinu yake
kuboreshwa zaidi kwani iwapo utachelewa kwenda kazini kwa sasa
Iringa ukitokea Kihesa ama Ipogolo foleni yake yaweza kupelekea
kuchelewa kabisa shughuli zako japo ni kero ila kwetu wenyeji ni
maendeleo
Alhamisi, 25 Julai 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni