Jarida
la onspOt magazine ambalo hapo awali lilijulikana kama Teenspot
Magazine limezindiliwa rasmi jumamosi ya Julai 6 mwaka huu kwenye hotel
ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi wa jarida la onspot magazine
Mkurugenzi wa masoko na mahusiano Nsia Swai akielezea mabadiliko ya jarida hilo kutoka kuitwa teenspot hadi onspot magazine
Mgeni rasmi Faustine Ndungulile Mbunge wa Kigamboni (kulia) akifungua pazia kuashiria kuzindua jarida hilo la vijana
Mkurugenzi wa Masoko na mahusiano wa onspot magazine Nsia Swai
Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndungulile
0 comments:
Chapisha Maoni