Searching...
Jumanne, 26 Septemba 2017

BREAKING; BASI LA DAR - TANGA LAWAKA MOTO BARABARANI.


Basi la Kampuni ya Tash linalofanya safari zake kati ya Tanga na Dar es salaam limewaka moto muda mfupi baada ya kuanza safari kutoka Tanga kuelekea jijini Dar es Salaam.
Taarifa zaidi zinasema hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!