Katika hali ya kuwaweka vizuri kisaikolojia wachezaji wa manchester United na viongozi wao ili kutambua uwepo wa mwalimu mpya kikosini hapo tayari Louis van Gaal ameanza kuwekeza mawazo yake pale alipoagiza uwanja wa mazoezi wa timu hiyo upandwe miti mara moja.
Huu ndio uwanja wa mazoezi wa Man U ambao kocha wao Van Gaal ameagiza upandwe miti mara moja.
Kazi ya Van Gaal kukinoa kikosi hicho cha ngome kongwe imeanza rasmi kama picha zinavyoonyesha juu na chini.
0 comments:
Chapisha Maoni