Kocha wa Chelsea Jose Mourinho akimpa maagizo mshambuliaji wake mpya Diego Costa katika ziara yao ya kujiweka imara kabla ya kuanza kwa michuano ya ligi kuu England hapo tarehe 16 mwezi ujao wa nane.
Diego Costa akiwa kazini kumuonyesha Mourinho kwamba hakukosea kumsajili kutoka Atletico Madrid.
Mlinda mlango wa Chelsea Peter Cech akiokoa mkwaju wa penalti wa Cesar Azpilicueta katika mazoezi yao wakiwa ziarani nchini Austria.
Kiungo mpya wa Chelsea Cesc Fabregas ambaye amewaingiza makocha wake Mourinho na wa zamani Wenger katika vita ya maneno naye alikuwepo uwanjani kufanya mazoezi.
0 comments:
Chapisha Maoni