Baada ya timu ya taifa ya Brazili kufanya vibaya katika michuano ya kombe la dunia iliyofanyikia katika ardhi yake ya nyumbani sasa shirikisho la soka la Brazili limemtangaza rasmi Dunga kuwa kocha wao mkuu baada ya kumfukuza kocha wao Luiz Felipe Scolari
Scolari bado hajajitokeza kuzungumzia utambulisho huo wa Dunga kunako timu ya taifa.
Dunga ambaye alikiongoza kikosi cha Brazili katika fainali za kombe la dunia mwaka 2010 nchini Afrika Kusini alimlaumu sana Scolari kuwaacha wakongwe kama vile kaka na Robinho.
Kicheko cha kazi mpya?
0 comments:
Chapisha Maoni