Kutokana na sababu ambazo zilikua nje ya uwezo wetu www.mchomeblog.com tumeshindwa kuwa hewani kwa takribani miezi miwili sasa,tunaomba radhi wapenzi na mashabiki wote wa mchome blog, ila tunawaahidi kwamba tumerejea kwa kishindo kikuu.
Tunatambua kwamba bila nyie sisi hatuwezi kupiga hatua,tunaomba muendelee kutuunga mkono kama ambavyokua hapo awali.
Mchome Blog kwaajili yako.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.