Searching...
Jumatano, 11 Juni 2014

NATAKA KUHAMIA CHELSEA-BEKI WA ROMA FC



MEHD BENATIA
Beki kisiki wa klabu ya Roma Mehdi Benaita ameweka wazi nia yake ya kutaka kujiunga na klabu ya Chelsea msimu ujao.
Mchezaji huyo nyota ambaye anawaniwa na vilabu vya Chelsea na Manchester City, wakala wake amesema ndoto ya mchezaji huyo ni kucheza chini ya kocha mreno Jose Mourinho msimu ujao ila anasubiri makubaliano ya timu hizo mbili.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!