Mashabiki wa mchezaji wa Uruguay Luis Suarez wakiwa wamefurika kwa wingi kumpokea mchezaji mla watu alipokua akitua baada ya kuondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa kufuatia kumng'ata beki wa italia.
Mashabiki wa Suarez wakiwa hawaamini macho yao wakisubiri kumuona shujaa wao akikanyaga ardhi ya Uruguaybaada ya kutimuliwa Brazili.
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco ukiwa umefurika mashabiki Suarez wakimsubiri mla watu.
Mashabiki wa Suarez wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuikashifu FIFA baada ya FIFA kumpa adhabu ya kutojihusisha na soka kwa miezi minne.
Kijana mdogo akiwa na meno bandia mithili ya meno ya Suarez akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco nchini Uruguay wakimsubiri Suarez kutua akitokea nchini Brazili.
Mashabiki wa Suarez wakiendelea kumiminika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco kumpokea mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay na timu ya Liverpool baada ya kumng'ata mchezaji wa Italia na kufungiwa kujihusisha na Soka kwa kipindi cha miezi minne.
Mitaa yote ilikua imefurika magari na mashabiki wa Suarez kuelekeauwanja wa ndege kimataifa wa Carrasco kumpokea shujaa wao mla watu.
Ilikua ni watu wazima,vijana hata watoto walifurika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco kumpokea Suarez.
Mashabiki wakiwa na kinyago cha sura ya Suarez nje ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco wakimsubiri shujaa wao Suarez.
Suarez mla watu akiondoka hotelini ambako timu ya taifa ya Uruguay imeweka kambi tayari kupanda ndege kurudi nyumbani.
....Kwaherini jamaniiiii.....
0 comments:
Chapisha Maoni