Home
»
Unlabelled
» ARSENAL WALAMBA MSHAMBULIAJI KOMBE LA DUNIA
Kocha mbahili wa timu ya Arsenal Arsene Wenger amepata nafuu baada ya kumpata mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ecuador Remy ambaye anaonekana kuwa chaguo bora la Wenger kukiimarisha kikosi chake.
Remy anatua Arsenal baada ya kufanya vizuri msimu uliopita alipokuwa akikipiga na timu ya Queens Park Rangers na kwa sasa yupo nchini Brazili kushiriki kombe la dunia.
Mshambuliaji mpya wa Arsenal Loic Remy akiwa na timu yake ya taifa ya Ufaransa dhidi ya Equador kwenye fainali za kombe la dunia nchini Brazili.
0 comments:
Chapisha Maoni