Wakati makocha wa
timu mbali mbali wakiendelea kuumiza vichwa kusajili wachezaji, Wenger
yeye hana habari anacheza Volleyball na kuogelea huko nchini Brazili
kama anavyoonekana pichani.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger akicheza mchezo wa volleyball huko beach nchini Brazil.
Watalii wengi waliokuwepo katika pwani hiyo baada ya kugundua kwamba wapo na Wenger walifurahi sana na kuanza kumzonga na kupiga naye picha.
0 comments:
Chapisha Maoni