Timu ya taifa ya Italia baada ya kuibuka na ushindi wa mzuri wa mabao 2-1 dhidi ya England katika mechi yake ya kwanza, leo imeduwazwa na Costa Rica baada ya kubugizwa bao 1-0 lililofungwa na Ruiz mnamo dakika ya 41,na kuwekwa katika njia panda ya kutinga katika hatua ya 16 bora.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni