![]() |
WEMA SEPETU. |
Habari mpya katika tasnia ya uigizaji wa bongo ni
kuwa kuna uwezekano mkubwa Wema Sepetu akalipwa shilingi mil.90 za
kitanzania kwa kuiuza filamu yake mpya kwa msambazaji mmoja anayekuja
juu kwa kasi pasipo kuuza haki zote za filamu yake hiyo mpya ikidaiwa
msambazaji huyo amekuja na kanuni mpya ya kutonunua haki za wasanii
kutokana na malalamiko ya muda mrefu ya wasanii kwa wasambazaji wengine.
Kwa mujibu wa chanzo kimoja kilicho karibu na Wema kimesema kuwa filamu hiyo yupo pia Aunty Ezekiel na Hemedy. "kuna uwezekano Wema akalipwa mil.90 kuuza movie yake mpya alocheza na Aunty na Hemedy na ......(akimtaja msambazaji) lakini hawajamalizana bado unajua wasambazaji wengine wamemfata madam pia but yeye hayupo tayari kuuza kwa bei ndogo kama wengine, si unajua sokoni anauza fresh" kilisema chanzo hicho kwa masharti ya kutotajwa jina

Hata hivyo Wema hakupatikana kuzungumzia suala hilo ingawa takribani mwezi mmoja uliopita mmoja wa maproducer wa filamu nchini alisema pia kuwa amesikia kuwa Wema atalipwa pesa nzuri kwa filamu yake mpya anayo-shoot akiwa na Aunty Ezekiel na Hemedy ingawa habari hiyo haikuandikwa.

0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.