Searching...
Jumamosi, 21 Juni 2014

KOCHA MPYA WA YANGA KUTUA NCHINI NDANI YA SIKU 4 KUANZIA LEO

 

Kocha Mbrazil anayeheshimika sana hapa nchini,Marcio Barcelio Maximo antarajiwa kutua hapa nchini ndani ya siku nne zijazo kuanzia leo jumamosi. 
 MARCIO MAXIMO.
 Bosi huyo ambaye anasifika zaidi kwa msisitizo wake katika nidhamu za wachezaji anatarajiwa kukiongoza kikosi cha wanajangwani katika msimu ujao wa likuu kuu ya Vodacom Tanzania.

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Back to top!