Kocha mkuu wa Chelsea Jose Mourinho ameweka wazi moni yake kwa klabu kuhusu mtu sahihi anayepaswa kumuachia timu hiyo katika nafasi ya ukocha pindi atakapoondoka klabuni hapo.
akizungumza kwa hisia kali Mourinho alisema anaamini mkongwe na kipenzi cha timu hiyo kiuongo muingereza Frank Lampard pamoja na kwamba msimu ujao hatochezea tena timu hiyo lakini anaamini kiungo huyo atarejea darajani siku sio nyingi na huyo ndiye angependa kumkabidhi mikoba ya ukocha kunako klabuni hapo
Mourinho alienda mabli zaidi pale aliposema kwamba alikua tayari kumfanya Lampard awe kocha msaidi klabuni hapo
‘He
can be a coach, he can start at the academy, he can start being my
assistant at the same time because he is doing his coaching badges, or
he can start in a different role.’
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.