Muonekano wa mbali wa chuo kikuu Dodoma UDOM kikiwaka moto kufuatia moto uliozuka karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaana lugha (school of humaninities).
Hadi asubuhi ya leo bado athari za moto huo zilikua bado hazijajulikana.
JUU NA CHINI:Wanachuo cha Dodoma UDOM wakiendelea kuchukua picha za tukio.
TAARIFA ZAIDI ZA AJALI HII,ENDELEA KUTEMBELEA MCHOME BLOG.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.