Searching...
Jumamosi, 21 Juni 2014

KITUO CHA TV CHAFUNGIWA KISA KUMUONYESHA RAIS AKIWA AMELALA BUNGENI.

 

YOWERI MUSEVENI-RAIS WA UGANDA
Kituo cha Televisheni nchini uganda cha MTV kimejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kufungiwa kurusha habari zozote zinazomuhusu rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni baada ya kupeleka hewani picha ya rais akiwa amelala fofofooo bungeni wakati wabunge wakiwa makini kusikiliza bajeti ya fedha kwa mwaka 2014/2015, bajeti ambayo ilikua ikisomwa kwa muda mmoja kwa nchi zote wanachama wa shirikisho la Afrika Mashariki.

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Back to top!