Ule usemi usemao ukisema cha nini wengine
wanasema nitakipata lini umetimia kwa aliyekua kocha wa Manchester
United David Moyes baada ya kupewa ofa ya miaka minne ya kukinoa kikosi
cha Galatasaray kuiridhi mikoba ya Roberto Mancini kama anavyoonekana hapo juu akizungumza na mmoja wa maofisa wa Galatasaray baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Instabul nchini Uturuki.
.....karibu sana Uturuki..ni kama afisa huyu wa Galatasaray anamuambia David Moyes was baada ya kukanyaga ardhi ya Uturuki kujadiliana na maofisa wa timu hiyo ili kukinoa kikosi hicho cha wukukutu.
Tangu David Moyes afukuzwe kazi Manchester United amekua akiendelea kula raha zake huko Miami nchini Marekani.
Galatasaray imemfukuza kazi Roberto Mancini kukinoa kikosi cha kutokana na kushindwa kuhimili mikiki mikiki ya ligi kuu ya Uturuki na klabu bingwa ulaya.
sawa sawa kaka,unatisha sana kaka!! naona umeamua kuja kivingine
JibuFuta