ARSENER WENGER.
Baada ya kushutumiwa muda mrefu kuwa na tabia ya ubahili,sasa kocha wa arsenal Arsenal Wenger amesema yupo tayari kuvunja benk na kutoa kitita cha paundi milioni 33.2 ili kuinasa saini ya mchezaji wa timu ya taifa ya Colombia Jackson Martinez.

JACKSON MARTINEZ.
Arsenal wamesema wapo tayari kuingia vitani na vilabu vya Atletico Madrid na Valencia kumnasa Jackson Martinez msimu huu japo taarifa kutoka klabu yake ya Porto zinasema itakua ngumu sana kumuachia mchezaji wao kirahisi pengine kama atashinikiza mwenyewe kuondoka vinginevyo hawapo tayari kumuuza.
0 comments:
Chapisha Maoni