Home
»
Unlabelled
» DAKIKA 90 BRAZIL 1-CHILE 1>>30 EXTRA TIME
Mchezaji wa Chile Claudio Bravo (kulia) akiondosha hatari langoni mwa Chile. Mchezaji wa Brazili mshambuliaji Fred akiucheza mpira kwa mkono na kisha kutumbukiza mpira wavumi na uwanja mzima kulipuka lakini mwamuzi makini ambaye ni polisi wa Uingereza Webb analikataa goli na kumlima kadi ya manjano.
Mlinda mlango wa Brazili Julio Cezar akiondosha hatari langoni mwake.
Kocha wa timu ya taifa ya Brazili akimlalamikia mwamuzi kwamba dakika 90 zimekwisha tafadhali maliza mpira ishara ambayo ilionyesha wazi kwamba Brazili wamezidiwa na Chile.
0 comments:
Chapisha Maoni