Searching...
Jumamosi, 28 Juni 2014

DAKIKA 45 KIPINDI CHA KWANZA BRAZIL 1-CHILE 1

                    BRAZIL Vs CHILE     
Hivi ndivyo uwanja wa Mineirao Stadium ulivyokua umefurika mashabiki wengi wao wakiwa ni wa Brazili.
English referee Howard Webb speaks to players 
Wachezaji wa Chile wakimlalamikia Mwamuzi Webb baada ya mchezaji mwenzao kuchezewa madhambi.
   
Mchezaji wa Braili Neymar akidondoka chini eneo la hatari akitaka penalt lakini mwamuzi Webb anakua makini na kuendelea na mchezo.
 
Neymer anasimama na kuendelea na mchezo.
Brazil's forward Neymar (L) and Chile's defender Gary Medel 

Wachezaji watatu wa Chile wakimfukuzia Neymer pasipo mafanikio.
   
Beki wa Brazili David Luiz akifunga goli safi la kichwa kutokana na kona nzuri ya NeymarWachezaji wa Brazil wakishangilia goli lao ambapo ubao sasa unasomeka 
BRAZIL 1-CHILE 0
....Gooooooooooooooool.....!!!
 
Ushindi wa Brazili haukudumu sana kwani dakika ya 32 chipukizi w Chile Alexis Sanchez naisawazishia chile naa ubao kusomeka 1-1.

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Back to top!