Katika hali ya kuonyesha jinsi Kim Kardashian alivyokua amepania kumpa kampani mdogo wake ikiwa ni pamoja na kutumia jukwaa hilo kujiongezea umaarufu duniani katika sherehe ya mdogo wake Kim alivalia zaidi ya mavazi matano ya bei ghali duniani katika hafla ya birthday ya mdogo wake Khloe
Kardashian kunako jiji la NewYork usiku wa kuamkia leo.
Mrembo wa miaka 33 akiingia ukumbini akiwa na mlinzi wake huku akiwa na vazi nadhifu tayari kumuimbia mdogo wake wimbo wa Birthday maarufu kama yacht party.
Familia maarufu Marekani ikiongozwa na Kim kuingia ukumbini kulia ni mdogo wake Kylie,kushoto ni Kendall pamoja na Kourtneyna mama yao Kris Jenner.
Birthday girl Khloe akiingia ukumbini huku akiwa na sura kavu kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Khloe akiingia ukumbini kwa madaha baada ya wageni wote kuingia huku akiwa amevalia gauni lake zuri kama la dada yake Kim.
Birthday Girl akiwasili ukumbini akiwa ameambatana na boyfriend wake mfaransa Montan.
............Tangulia baby.........
Khloe akiingia ukumbini hukugauni lake likiwa wazi na kuonyesha tatoo yake mgongoni.
Hivi ndivyo Kim alivyoingia ukumbini.
...........Tunaingia ukumbini......
Safari ya kuingia ukumbini ilikua sio fupi.
Khloe, Kendall, Kylie na Kim wakiwa katika picha ya pamoja
Kim akiwa na rafiki yake Loren Ridinger.
Kim naLoren wakiwa katika pozi
Hapa ndipo people walipokula good tym na birthday Girl.
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida muda mwingi Khloe alikua hana sura ya furaha
Boyfriend wa Khloe alimzawadia mpenzi wake zawadi ya gari aina ya Jeep yenye thamani ya zaidi ya paundi milioni 50,000
Birthday Girl na mpenzi wake wakiondoka ukumbini huku Kholie bado akionekana kutokuwa na raha na muda mwingi mpenzi wake akiwa bize kuzungumza na simu.
Ama kweli pesa sabuni ya roho jamani.
JibuFuta