Searching...
Jumamosi, 28 Juni 2014

VITA YA USAJILI,LIVERPOOL YALAMBA DUME,NYOTA ASAINI MIAKA 5 ANFIELD

Adam Lallana has completed his switch
ADAM LALLANA.
Vita ya kuwania wachezaji bora katika dirisha kubwa la usajili barani ulaya vimeendelea baada ya klabu ya Liverpool kuinasa saini ya nyota wa timu ya taifa ya Uingereza Adam Lallana, baada ya kukubaliana mkataba wa miaka mitano na mshahara wa paundi 100,000 kwa wiki akitokea akitokea klabu ya Southampton kwa kitita cha paundi milioni 25 zikiwa ni siku chache tu baada ya kurejea kutoka Brazili alipokuwa na timu yao ya taifa ambayo imeondeshwa mapema katika michuano ya kombe la dunia.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!