Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' pamoja na Mahsein
Awadh 'Dk. Cheni' wakipitia Gazeti la Ijumaa Wikienda ndani ya Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakisubiri kusikiliza kesi
inayomkabili Lulu juu ya kifo cha msanii Steven Kanumba.
KESI
inayomkabili staa wa sinema za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ dhidi ya
msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba imeunguruma leo katika Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam,Kesi hiyo imeahirishwa hadi hapo watakapojulishwa na mahakama tarehe ya kusomwa kwa shitaka lake la kuua bila kukusudia.
0 comments:
Chapisha Maoni