 |
| Diamond akionyesha vitu vyake katika show ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach... |
Diamond Akiongea na vyombo mbali mbali vya habari kabla ya show kuanza ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach.
 |
| Diamond akianza kufanya vitu vyake katika show ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach. |
 |
| Diamond ...Sukari ya mabinti akiwapagawisha mashabiki wake ndani ya coco beach. |
 |
| umati mkubwa ukimsikiliza Diamond Platnumz ndani ya Coco Beach. |
Diamond Platnumz na Bling Blingz kibao.
ngololo...eeh ...ngololo......thats how #WCB Hufanya.
Diamond akionyesha vitu vyake katika show ilioandaliwa na CocaCola -ndani ya Coco Beach.
0 comments:
Chapisha Maoni