Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitembea na kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) baada ya
kukabidhiwa na Kamati ya Olimpiki Tanzania,(wa pili kulia) Rais wa
Kamati ya Olimpiki Tanzania Gulam Abdalla Rashid,na katibu wa Mbio za
Kifimbo na Mjumbe wa kamati ya Oilimpiki suleiman Jabir,(kushoto).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea Kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) kutoka kwa
Katibu wa Michezo wa Chama cha Watu wenye Ulemavu Zanzibar Hadaa
Khatib,katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Baadhi
ya wanamichezo wa vikundi mbali mbali vya Michezo vya Zanzibar wakiwa
katika hafla ya kukabidhi kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton)
kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,kutoka kamati ya Olimpiki Tanzania katika Viwanja vya
Ikuli Mjini Zanzibar leo.
Kiongozi
wa Kifimbo cha Kifimbo cha Malkia wa Uingereza (Queens Baton) Adam
Best,akitoa maelezo kwa wanamichezo wa vikundi mbali mbali vya Michezo
vya Zanzibar baada ya kukabidhi KIfimbo hicho kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja
vya Ikulu Mjini Unguja leo.
0 comments:
Chapisha Maoni