Waziri Mpya wa Katiba na Sheria Dk. Asha-Rose Migiro akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa Naibu Waziri wa
Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini
Dar es Salaam, leo. Picha na OMR
Waziri mpya wa Fedha Bibi.Saada Mkuya akila kiapo
Naibu Waziri mpya wa Elimu, Jenister Muhagama akila kiapo.
Naibu Waziri Mpya wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Juma Nkamia akila kiapo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana, kuwa Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha,
katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwange, kuwa Naibu Waziri wa
Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Amos Makala, kuwa Naibu Waziri wa Maji,
katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Wageni waalikwa
Wageni waalikwa
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na
mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na familia yake, baada
ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha
Mwigulu Nchemba.
Rais Kikwete akiwa na mawaziri wapya
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Baraza jipya la Mawaziri
0 comments:
Chapisha Maoni