DAVID MOYES-KOCHA MAN U.
Kocha wa Manchester United David Moyes amepewa orodha ya wachezaji wanaotakiwa kununuliwa na timu hiyo katika msimu huu wa dirisha dogo,orodha yao ni kama ifuatavyo.
KOKE,21-ATLETICO MADRID.
DUO MARCO REUS,23-BORUSSIA DORTMUND
IIKAY GUNDOGAN,23-BORUSMUND
ELIAQUIM MANGALA,22-PORTO
LUKE SHAW,18-SOUTHAMPTON.
Lakini pamoja na mapendekezo hayo ya Manchester,Moyes anafahamu fika kwamba atakumbana na kazi kubwa kuzinasa saini zao.
0 comments:
Chapisha Maoni