Mwili wa marehemu Eusebio ukiingizwa uwanjani tayari kwa watu kutoa heshima zao za mwisho
Maelfu ya watu wakiwa ndani ya uwanja wa soka wa Benfika wa Luz nchini Ureno kumuaga nguli wa soka duniani marehemu Ausebio
Jeneza la dhahabu lililobeba mwili wa marehemu Eusebio likiwa kati kati ya uwanja wa soka tayari kabisa watu kutoa heshima zao za mwisho.
Waombolezaji wengine walijikusanya nje ya uwanja kushuhudia kile kinachoendelea ndani ya uwanja baada ya kuzuiliwa nje kutokana na wingi wa watu
Nyumba ya milele ya Eusebio ikiea imejengewa kisasa kaskazini mwa wilaya ya Lisbon
0 comments:
Chapisha Maoni