Searching...
Jumanne, 7 Januari 2014

HATARI KUBWA MAREKANI,SHULE NA BARABARA ZA FUNGWA,WATU KUTOKUTOKA NDANI KISA BARIDI KALI

Lee Tuttle, 66, takes a break from blowing snow off of his driveway to pose for a portrait on Sunday, January 5, 2014 at his home on Miller Road in Flint, Mich. He said he hadn't really noticed the icicles forming in his beard.     (AP Photo/The Flint Journal, :Michelle Tessier) LOCAL TV OUT; LOCAL INTERNET OUT 
 Mzee Lee Tuttle, 66, akiwa amekwama barabarani huku gari lake likiwa limefunikwa na badrafu (HALIONEKANI PICHANI)
Ice builds up along Lake Michigan in Chicago, Illinois, on 6 January 2014
Msimu wenye maridi kali kuwahi kushuhudiwa nchini Marekani katika miongo miwli iliyopita, unaelekea kupiga maeneo ya Kusini na Mashariki mwa nchi hiyo.
Miji ya New York na Washington ni miongoni mwa miji ambayo imekumbwa na theluji pamoja na baridi kali inayokuja kwa upepo mkali kutoka katika bahari ya Arctic.
A horse drinks water from a hole in a frozen water tank in Enid, Oklahoma, on 6 January 2014  
Masikini farasi huyu anajaribu kunywa maji yaliyoganda bila mafanikio huko Oklahoma
A woman snow blows her driveway in Springville, New York on 6 January 2014  
Hali hii mbaya ya hewa imelazimisha kufungwa kwa shule huku biashara nyingi zikitatizika hata na safari za ndege pia zimekatizwa pakubwa.
A woman pushes her daughter and their groceries through blowing snow in Saginaw Township, Michigan, on 6 January 2014  
Mama mmoja wa Michigan akiwa na mwanae akitoka kufanya manunuzi huku barafu kali ikiendelea kudondoka.
A wrecked semi truck sat in a highway ditch in St. Joseph, Illinois on 6 January 2014   
Huku baridi ikizidi, gavana wa New York (Andrew Cuomo) amesema kuwa huenda leo jumanne baadhi ya barabara kuu zikafungwa.
A worker cleared snow from a business in Muskegon, Michigan on 6 January 2014  
Mkazi mmoja wa Michigan,akijaribu kuondoa barafu katika nje ya nyumba yake.
Men surround a makeshift fire in Knoxville, Tennessee, on 6 January 2014
Mamilioni ya watu wameonywa wasitoke nje.
Eneo lenye baridi kali ni Babbitt na Minessota. Theluji hiyo imesababishwa na hewa yenye baridi kali inayotoka katika bahari ya Arctic.
 People urged to stay indoors as US temperatures hit -50C 
Barafu kali ikiendelea kuanguka na kuongezeka katika mto Michigan marekani.
Three brothers, from left, Trevor, Connor, and Austin Bartz built this 16 foot high snow shark in the front yard of their New Brighton, Minn. home, Wednesday, Jan. 1, 2014.  It took them around 95 hours of work and they gathered the snow from houses in their neighborhood. (AP Photo/Star Tribune, Glen Stubbe) ST. PAUL PIONEER PRESS OUT, MINNEAPOLIS-AREA TV OUT, MAGS OUT 
Jamaa watatu wa familia moja wakimalizia kujenga picha ya samaki kwa kutumia barafu
Allan Umscheid, owner of Yards By Al in Lawrence, Kan, feels the bitter wind and catches drifting snow on his face as he runs a snow blower early Sunday morning, Jan. 5, 2014. Several inches of snow fell on the Lawrence area overnight and wind chill values are forecast to be as low as minus 25 to minus 32 Sunday night through Monday morning. (AP Photo/The Journal-World, Mike Yoder) MANDATORY CREDIT  
Mzee Allan Umscheid akisikilizia maumivu makali ya upepo wa barafu
 In an imagge made with a fisheye lens, Marguerite Johnston uncovers her car in Grosse Pointe, Mich., Monday, Jan. 6, 2014. Michigan residents are preparing for diving temperatures as they dig out from more than 15 inches of snow in places.  .(AP Photo/Paul Sancya) 
Gari la bwana Marguerite Johnstonlikiwa limefunikwa na barafu

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!