NEMANJA MATIC.
Klabu ya Chelsea imethibitisha kumsajili kiungo nyota wa Benfica Nemanja
Matic kwa mkataba mrefu wa miaka mitano na nusu,lakini swali la wengi ni je,atapata nafasi ya kucheza katika klabu hiyo iliyojaa wachezaji ghali na wenye majina makubwa duniani?
TUSUBIRI TUONE MOURINHO ATAFANYA MAAMUZI GANI.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.