Eneo la Mtanzania wilayani Kiteto ambalo ni moja kati ya maeneo ya
makazi yaliyovamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji ambapo watu
watatu waliuawa na nyumba kuchomwa moto. Mlheshimiwa Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda alitembelea eneo hilo Januari 16, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanakijiji wa Mtanzania
Januari 16, 2013 wakati alipokwenda kuwapa pole kufuatia uvamizi
waliofanyiwa na watu wanaosadikiwa kuwa wafugaji ambao waliua watu
watatu na kuchoma nyumba . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara,
Erasto Mbwilo.
Baadhi ya wananchi wa Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu , Mizengo Pinda
wakati alipowahutubia Januari 16, 2014 katika mji wa Kibaya
alipokwenda kuwapa pole wakulima wa wilaya hiyo ambao walishambuliwa,
kuuwawa na nyumba zao kuchomwa moto na watu wanaosadikiwa kuwa ni
wafugaji.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Kiteto
baada ya kuwasili wilayani humo Januari 16, 2014 kufuatilia suala la
mauaji ya wakulima
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na wazee wa Kiteto wakati alipoteta
nao baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Kibaya
Janauari 16, 2014. Alikwenda Kiteto kuwapa pole wakulima ambao
walishambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafugaji ambao waliua na
kuchoma moto nyumba.

(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.