Searching...
Jumatano, 15 Januari 2014

HIKI NI KITUKO CHA MWAKA 2014-WAENDESHA BODA BODA WAKIMBIA NA MAITI YA MWENZAO NA KUMZIKA WAO WENYEWE BAADA YA MCHUNGAJI KUWAAMBIA WAMEFWATA UBWABWA

 Mchungaji wa Bodaboda Bahati Mwasote akiendesha Ibada ya mazishi.

 Kanisa la Tanzania Assemblies of God[TAG]Uyole
Marehemu Gabriel Osward Ngalele. enzi za uhai wake

Mchungaji Edward Mtweve wa kanisa la Tanzania Assemblies of God[TAG]Uyole akiongea na mwandishi wetu ambae hayupo pichani

Katikati mke wa Marehemu
Mwili wa marehemu ukiagwa makaburini hapo
Katika mazishi hayo baadhi ya Viongozi mbalimbali walishiriki akiwemo mlezi wao Nwaka Mwakisu,Mlezi wa Bodaboda Taifa Respisius Timanywa ambaye aliwaasa vijana kuhudhuria mafunzo ili kupunguza ajali za mara kwa mara. 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!