Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Msaafu Mzee Cleopa
David Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jijini
Dar es Salaam.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) Bwana Haroun Ali Suleiman aliyelazwa katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, Jana (Jumanne)(picha
na Freddy Maro).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika
jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia
hali leo, Jan 15, 2014. Kulia ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal
(kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo
la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali
leo. Kushoto ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi wa Umma wa Zanzibar, Haruna
Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa
Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo. Katikati ni mke wa
Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr.
Salome Kassanga.
Picha na OMR Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga.
Picha na OMR Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.