Searching...
Jumatano, 22 Januari 2014

HATARIIII,WANAFUNZI 5 WAFARIKI DUNIA NA 47 KUJERUHIWA KATIKA AJALI WAKATI WAKIKIMBIA MCHAKA MCHAKA

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephine, akiwa ndandi ya  wodi namba moja katika Hospitali ya mkoa ya Ligula, alipokwenda kuwaona majeruhi wa ajali  ya  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mustafa Sabodo, iliyotokea leo katika barabara ya Mtwara Lindi wakati wanafunzi wa shule hiyo wakikimbia mchakamchaka asubuhi. Kushoto Kaimu Katibu tawala wa Mkoa Smythies Pangisa. Katika ajali hiyo iliyohusisha gari ndogo aina ya Masdz Benzi lenye namba za usajili T174 AEB imesababisha vifo vya wanafunzi wanne na wengine 47 kujeruhiwa
 Mmoja wa majeruhi akipelekwa wodini baada ya kupokewa katika hospitali hiyo
 Kamanda wa Polisi, Zelothe Steven akizungumzia ajali hiyo
Kamanda Zelote akikagua gari lililohusika katika ajali hiyo

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!